Kaimosi Friends University Repository

Uchanganuzi wa Sitiari Muono katika Mashairi Ruwaza ya Kiswahili

Show simple item record

dc.contributor.author Nabeta, K. N. Sangili
dc.date.accessioned 2023-10-13T10:33:24Z
dc.date.available 2023-10-13T10:33:24Z
dc.date.issued 2022
dc.identifier.citation Bertoncini, E. (2010). Some remarks on kithaka wa mberia’s poetry. Swahili Forum 17:94-103 Bohn, W. (1986). The aesthetics of visual poetry. Chicago: Chicago University Press. Bohn, W. (2011). Reading visual poetry. Maryland: Farleigh Dickinson University Press. Cormac, E.R. M. (1988). A cognitive theory of metaphor: London: The MIT Press. Higgins, D. (1987). Pattern poetry: guide to an unknown literature. New York: State University of New York Press. Kempton, K. (2005). Visual poetry: A brief history of ancestral roots and modern traditions. Carlifonia: Oceano. Kimalu, P. et al. (2002) A Situational Analysis of Poverty in Kenya, Working Paper No. 2. Nairobi: Kenya Institute for Public Policy Research and Analysis (KIPPRA). Kinyanjui, K. (1974) The Distribution of Educational Resources and Opportunities in Kenya. University of Nairobi: Institute of Development Studies Discussion Paper No.208. Ministry of Education & Human Resources Development & World Bank (1995) Access, Equity and Quality of Tertiary Education and Training. Nairobi: Government Printers. Lakoff, G., & Johnson, M. (1980). Metaphors we live by. Chicago: University of Chicago Press. Leary, C. (1990). Metaphors in the history of psychology. Cambridge: Cambridge University Press en_US
dc.identifier.uri http://erepository.kafuco.ac.ke/123456789/231
dc.description.abstract Mashairi ruwaza ni dhana tunayotumia kurejela mashairi ya ‘kimaajabu’ katika taaluma ya ushairi wa Kiswahili. Mashairi haya yamekuwepo tangu miaka ya elfu mbili, hasa katika diwani za Kithaka wa Mberia. Yakilinganishwa na mashairi ya kawaida, mashairi ruwaza yanadhihirisha uchangamano mkubwa katika uwasilishaji maudhui na ufumbuaji wa maana. Hii ni kwa sababu yanatumia vipengele kama vile picha zinazoruwazwa kwa upekee wa maneno, taipografia na sitiari muono kinyume na mashairi ya kawaida yanayotumia maneno pekee na sitiari za kiisimu. Vipengele hivi vinatatiza ufasiri na welewa wa maana ya shairi ruwaza. Hivyo, kazi hii inanuia kuyajadili kwa undani huku tukichanganua mashairi teule ambayo yanapatikana katika diwani za kimapinduzi. Lengo la uchanganuzi huu ni kutajirisha stadi za usomaji na ufasiri wa mashairi ruwaza miongoni mwa wanafunzi na walimu wa ushairi wa Kiswahili. Kazi hii inalenga kujadili namna au mbinu za kufasiri sitiari muono katika mashairi haya. en_US
dc.relation.ispartofseries Volume 5,;Issue 1
dc.subject Mashairi, Ruwaza, Sitiari, Uchanganuzi. Mapinduzi en_US
dc.title Uchanganuzi wa Sitiari Muono katika Mashairi Ruwaza ya Kiswahili en_US
dc.type Other en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Erepository


Browse

My Account